Maajabu ya asali kwa afya ya binadamu
HUTIBU MATATIZO YA LEHEMU(CHOLESTEROL) KWA KUTUMIA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI
Kipimo cha LEHEMU(CHOLESTEROL) cha watu waliokua na afya nzuri(katika jaribio) kilishuka kwa wastani wa 10% katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa glass moja ya maji ya uvuguvugu yenye vijiko viwili vikubwa vya ASALI iliyochanganywa na kijiko kidogo cha MDALASINI .
Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri ya kushusha kiwango cha LEHEMU(CHOLESTEROL) mwilini.
Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhibitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya mchananyiko huu pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarifu Dr. Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.
Ugunduzi wak uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994. Vilevile uchunguzi mwingine ulibainisha kua matumizi ya kila siku ta asali safi hupunguza viwango vya LEHEMU(CHOLESTEROL).
Tuendelee kula asali kwa afya zetu.
Toa order yako sasa kupitia 0683370065 / 0769129351 na ujipatie asali safi, bora na halisi ya NYUKI WAKUBWA na NYUKI WADOGO toka HONEY SPRING.
BEI ZETU NI:-
NYUKI WAKUBWA ( WAKUBWA CLASSIC)
LITA 1 - 12000
LITA 5 - 55000
NYUKI WADOGO (WADOGO CLASSIC)
LITA 1 - 35000
NUSU LITA - 20000
350ML - 15000
LITA 5 - 170000
Karibuni sana
0 comments: