Mi naomba tuongee biashara

19:13:00 Unknown 0 Comments

Jamaa kaingia bar akiwa kishalewa. Akaenda kaunta akaagiza kiroba, ghafla akamuona mdada mmoja kakaa peke yake pembeni;
MLEVI; Oyaa kaunta hebu mpelekee kinywaji yule mdada pale nataka kuongea nae
KAUNTA: Hakufai huyo, demu msagaji
MLEVI: Wewe mpe kinywaji mi namuibukia, tena hawa ndio nawatafuta........mlevi akamsogelea yule mdada
MLEVI: Mambo sister, 
MDADA: Poa
MLEVI: Mi naomba tuongee biashara
MDADA: Ongea
MLEVI: Mimi nina gunia zangu kumi za mahindi, nasikia wewe ni msagaji, unasagishia wapi nilete mahindi yangu? MLEVI BADO YUKO HOSPITALI WIKI YA PILI SASA

You Might Also Like

0 comments: