mi sitaki mume wangu afufuke
Mke alienda Jerusalem na mumewe ki-vekeshen vekeshen.Mumewe akafa bahati mbaya, akaambiwa kusafirisha mwili itamgharimu dola 1,000 na kuzika nchini humo dola 100.
Akachagua kusafirisha, mchungaji akamuuliza "huoni ni gharama kubwa sanakusafirisha?"
Mke akajibu: Mara ya mwisho Yesu alizikwa hapa akafufuka siku ya 3, mi sitaki mume wangu afufuke"
0 comments: