Mshirikishe Mungu katika mambo yako yote
Kobe,Kinyonga,
Panya,Sungura, na Jongoo; Wote hutembea japo kila mmoja ana Mwendo kasi
wake,lakini wote hufika waendako;
MWENDO WA MTU MWINGINE USIKUTISHE WALA MAFANIKIO YAKE YASIKUNYIME AMANI KATIKA KUSONGA MBELE. Amini kila Mtu ana Riziki yake; Na Mungu humpa kwa wakati wake;
Tafadhali usikate Tamaa; Mshirikishe Mungu katika mambo yako yote naye
atakusikia kwani maandiko yanasema ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona
bisheni nanyi mtafunguliwa, na kila amuombaye MUNGU kwa bidiii atafanikiwa tu.
JIONI NJEMA
Imeandikwa na Angel W Shangali
0 comments: