Tunatarajia ulipe kodi kwa tabasamu

22:10:00 Unknown 0 Comments


Hii stori inanihusu mimi na bishara zagnu, unajua nachukia sana kulipa kodi, siku moja nilitembelewa na maafisa wa kodi toka TRA. Wakati wanakagua mahesabu yangu ofisa mmoja akasema
Ofisa: “Sisi watanzania ni wazalendo sana kwa nchi yetu na tunapaswa tuipende na kuijenga. Tunategemea ukiwa kama mzalindo ulipe kodi zako zote kwa tabasamu”
Niliposikia vile nikafurahi sana na kuwajibu “Ohooo shukrani sana, nilidhani mnataka nitoe hela kulipa kodi kumbe tabasamu linatosha kulipia”

You Might Also Like

0 comments: