'We naniii??''

17:13:00 Unknown 0 Comments

Mume flani kamuaga mkewe kuwa anaenda semina Darkwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa demu
flani nyumba ya pili toka kwake.


Siku ya kwanza akalala asubuhialipoamka akachungulia kwake kukoje; si akamuona jamaa yuko nje ya
nyumba yake kava taulo lake anapiga mswaki....Akapiga kelele, ''We naniii??''
Jamaa akajibu, ''Mshikaji mambo ya mjini haya, mume wa huyu mama kasafiri kaenda Dar mi ndo najivinjari hapa.''
Mume akajibu kwa uchungu, "Shenzi mkubwa,ngoja nirudi toka Dar nakuua walai!!"

You Might Also Like

0 comments: