wewe ungempa marks ngapi hapo?
Hivi ndivyo mwanafunzi wa form 4, 2012 alivyojibu kwenye pepa ya kiswahili.! Swali:- Eleza hatua za kuandaa MDAHALO. Mwanafunzi akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi....1. Unauchukua mdahalo wako, unaosha vizuri
2. Hakikisha mdahalo wako haujakomaa
3. Bandika sufuria yako jikoni
4. Weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa dakika kumi na tano.
5. Mdahalo wako ukiwa tayari uepue
6. Mdahalo huu unaweza kuula na kinywajo chochote...
0 comments: