Chuo hiki kinafaulisha kweli?
Mzazi alimpeleka mwanae kumuandikisha chuoni. Alipofika akakutana na mlinzi:MZAZI: Hivi hiki chuo kinafundisha vizuri eeeh?
MLINZI: Ya ni kizuri kwasababu nilimaliza hapa na nimepata kazi hapahapa
20:20:00 Unknown 0 Comments
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
0 comments: