Jinsi ya kupima ugonjwa wa kisukari

10:45:00 Unknown 0 Comments

Mzee kaingia pharmacy

MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?....

Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka...majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na
kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili?
MFAMASIA: Kama chumvichumvi
MZEE: Hakuna sukari
MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa
MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama ninakisukari, kumbe sina asante bwana mdogo

You Might Also Like

0 comments: