raia Watanzania wakiwa na mali hujitenga na wenzao

12:32:00 Unknown 0 Comments


Panya alimeza kipande cha dhahabu mwenye dhahabu akachanganyikiwa na kuamua kumkodi mpelelezi mmoja ili aje amuue panya aliyemeza dhahabu. Mpelelezi alipofika alikuta panya zaidi ya 500 lakini alishangaa kumuona panya mmoja kajitenga,ndipo alipomkamata na kumuua,alipompasua akakuta kipande cha dhahabu akamkabidhi mwenyewe.Yule jamaa alipigwa na butwaaa huyu mpelelezi alimjuaje yule panya ikabidi amuulize.

Jamaa:aisee we mkali,ulijuaje kama huyu ndiye panya aliyemeza dhahabu?

Mpelelezi:hawa panya nao ni kama raia Watanzania wakiwa na mali hujitenga na wenzao

You Might Also Like

0 comments: