Kuanzia Asubuhi umeamka hadi jioni unaitwa BABY mara 76..

17:23:00 Unknown 0 Comments


"Baby Umeamkaje,Baby umekunywa Chai,Baby umevaa lile shati nililokununulia,Baby umepiga viatu kiwi,Baby umefika kazini,Baby mbona kimya,Baby hujanimiss eh,Baby mchana utakula nini,Baby umekula,Baby hebu nipigie picha chakula chako unitag,baby niko Mwenge naenda kutengeneza kucha,Baby nimeona vipochi vizuri hapa Makumbusho utanileta eh,Baby unatoka saa ngapi,Baby nitakuona leo,Baby duuuuuuhhhh...

Kuanzia Asubuhi umeamka hadi jioni unaitwa BABY mara 76...Na anataka message zote umjibu,usipomjibu ananuna kama mtoto aliyenyimwa Ubuyu mwekundu...Hapo bado simu zake upokee,hasira zake za message za bure za CHEKA NAO anamalizia kwako...JAMANI TUTAFANYA KAZI KWELI????Kila muda Baby kweli,mwishowe ipo siku tutamuita Bosi Baby sasa maaana ndo jina liko mdomoni kila saa...Chezea penzi jipya wewe,Full Vibration kama Nokia Asha!


Kwa Hisani ya Wanawake woteeee walio dimbwini kimahaba......## JAMAN TUBADILIKE KIDOGOOO

You Might Also Like

0 comments: