Aina ya mpenzi wa kike anayeweza kukufanya uishi kwa raha hapa duniani
1. Unaamka yeye
kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke
adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi
3.
Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sanaaa!
4. Umejipunzisha
kwenye kochi au au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".
5. Kila anachotaka kufanya
kujiendeleza anakuambia.
6. Anapenda ndugu zako.
7. Anakupa moyo kwenye wakati
mgumu (anakuambia baby hayo ni maisha tu,usijali tutafanikiwa tu)
8. Anajua
unataka nini na kwa wakati gani.
9 Hana tabia ya uchoyo na umbea
10. Atakukumbusha usome na kulike Tabasamu na Fuledi


0 comments: