Haya ya PNC kumwomba msamaha Ostaz Juma ..... Yana ukweli????

10:47:00 Unknown 0 Comments

Hii ni picha ambayo imezunguka sana jana na leo bado inaendelea kuzunguka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo wadau wengi wa muziki wamedai ni kama kudhalilishwa kwa wasanii wa Tanzania na kuonekana kama hawana msimamo na kazi yao waifanyayo.



You Might Also Like

0 comments: