Hivi haya majungu na masufulia ni ofisini kwangu tu au kote jamani mana yamezidi?

08:58:00 Unknown 0 Comments

jamani marafiki na wafanyakazi wenzangu kazi tutafute ila tujipange na majungu ya humo ofisini.

Mtu akitoka kidogo anaanza kupigwa vijembe,alafu wewe mgeni unafikilia mmh na mimi nikitoka kumbe ndio inavyokuwa.

Sijui dawa ya majungu nini mana watu wanavyo jifanya wanamjua
bosi kwa sana na wewe mgeni ukae
chonjo.

Mmh nafikiri tutafika ivyo ivyo ila tutakuwa tumechoka sana.

Mdau wa Tabasamu na Fuledi

You Might Also Like

0 comments: