WACHAGA NA BIASHARA!?
Ona tangazo la biashara kwenye duka la MANGI JIRANI YETU : pata sukari, mayai, baiskeli, kanga, pilau, walikuku, sambusa, tairi za trekta, madaftari, bia aina zote, petroli, dizeli, matunda, socket za umeme, nazi, vitumbua, mbolea, mitumba grade 1, supu ya utumbo na kongoro, mabati, vocha, mtego wa panya, pembejeo, rim papers makabati ya nguo, oil chafu, computer, simu, pochi, juice na mbogamboga, mbao, jiki, mahindi ya kuchoma, bajaj, cement, sufuria, leso, vyumba vya wageni, na vyuma, air condition, net za mbu, vyuma chakavu, viti.TV,House girl,nyama ya kuku,sementi,maembe,mchanga,chai,maziwa ,lami,kupaka kucha rangi,maziwa ya kondiki,matofal ya uchra,maua,makasha ya cm,vitabu,cover city,paarachi,masendeu,tunachaj cm,miswaki,tiket feki,bang,ugoro,kuber,tunaonyesha sinema,tunachimba vicma,ndiz,baga,soseji,watoto wa ngurue,watoto wa mbwa, SASA WENZENU WAUZE NINI?

0 comments: