kama unahuruma tafadhali usipite bila kuisoma habari hii

14:34:00 Unknown 0 Comments



Pichani ni binti aitwaye Isabela mwenye umri wa miaka 25 ambaye amepatwa na kilema cha maisha na sasa maisha yake sio kama yale ya mwanzo tena.

Binti huyu aishie pakistani alipatwa na maswahiba haya baada ya kukataa kuolewa na ndipo baba yake wa kambo akachukua acid na kumwagia huku akisema anamkomesha kwa kujifanya mzuri na kukataa kuolewa.

Vitendo hivi vimekuwa vikiendelea chini chini katika jamii nyingi kwani wazazi na ndugu wanafikiri wao ndio wenye jukumu la kumtafutia mchumba wampendaye mweanao bila kufikiri maisha yao yatakuaje.

Inaumiza sana na kwangu ni kitendo cha klinyama ambacho binadamu hawezi kumfanyia binadamu mwenzake.

Binti huyu amenusurika zaidi ya mara 2 kujiua kwa kuokolewa na watu wenye mapenzi mema na maisha yake.

Namwombe binti huyu Mungu ampe moyo wa ujasiri na uvumilivu aweze kuhimili machungu anayoyapitia sasa na apate hekima na busara na kuishi na watu wake salama.

Comment Amen ili kumwombea apate nguvu na kuishi na jamii hiyo ambayo kwa sasa ni kama mwimba katika maisha yake... na share kwa kuwakumbusha watu jukumu la wanadamu kuthaminiana

kumbuka kulike Tabasamu na Fuledi

You Might Also Like

0 comments: