Sasa huu ni ubahili au ushamba????

09:25:00 Unknown 0 Comments

Jamani mimi nimeolewa na nina miaka 3 ya ndoa...

Kinachonikera mme wangu hataki kunitoa out na ni msomi mwenye hela zake na kazi nzuri.

Sasa huu ni ubahili au ushamba?

You Might Also Like

0 comments: