Fuledi naomba msaada, kuna binti yupo kambi ya wakimbizi huko afrika ya kati na baba yake ana hela anataka nimsaidie kuzihamisha fedha na mie nibaki na hela za kutosha

18:20:00 Unknown 0 Comments



Kaka imeanza kama utani lakini sasa kanitumia email na picha yake na anadai kuwa mimi nimsaidie kumpata mtu wa kumsaidia ahamishe fedha alizoachiwa na baba yake ambaye alikuwa tajiri wa kutupwa,

Nimeshaongea na mchungaji wake na mwanasheria wake kwa hiyo naomba ushauri nimsaidiaje maana nimeshamtumia fedha kama laki nane zimsaidie pale kambini huku namimi nikipiganana apate hizo fedha.

Je nifanyeje ili aweze kupata fedha hizo, maana nina mhurumia sana ukizxingatia ni mkimbizi

Nitakushukuru sana

You Might Also Like

0 comments: