Habari Mbayaaaaaaaaaa!!!!!! Rafiki aponea kuliwa na simba ni mbinu tu za asilia zimemwokoa

15:52:00 Unknown 0 Comments




MTANGANYIKA:Leo nimeponea chupuchupu kuuwawa na simba

MBONGO: He ilikuwaje?

MTANGANYIKA: Nilikuwa nimechuchumaa najisaidia nyuma ya chaka simba akatokea ghafla

MBONGO: Sasa uliponaje?

TANGANYIKA: Nakwambia kama sio simba kuteleza teleza ningekuwa marehemu.

MBONGO: E bwanaee hapo ningekuwa mimi kwa vyovyote ningejiharishia hovyo

TANGANYIKA: He kwani mimi nilifanya nini? Unafikiri simba alikuwa anateleza kwanini? We acha bwana simba anatisha bwana

You Might Also Like

0 comments: