Hizi touch screen zinavyosumbua watu.......Yaaani kuna siku watu watatwangana kwa kuzielewa meseji vibaya,
Mdada kanunuliwaa simu mpya ya sreen touch na bebi wake.
MDADA-Bebi mambwo?
JAMAA-Poa nambie
MDADA-Vipw umelalwa?
JAMAA-Unasemaje?
MDADA-Nauliza umelwala?
JAMAA-Mhhh! Cjalala baby hata usingizi cna
MDADA-Mimi menyew cjalwala kumu mijitu
inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa
JAMAA-Nin?
MDADA-Kuna kelwele hapa nje ya numba yetu
usingizwi hakuna kabiswa
JAMAA-Hahahaa! Pole baby
MDADA-Bwebi mbona unanichekwa sasa?
JAMAA-Jaribu kuandika vizuri honey
MDADA-Hehehwehwe unajua cm mupya alafu
sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na
nyingine.Pwelo bebwi wangu
JAMAA-Hahaha haya dia


0 comments: