HURUMA!!!! Wanaume wa kitanzania wazidi kuwa maskini kisa wanawake

18:20:00 Unknown 0 Comments

Ulala na Eva jumatatu na kusex nae
Jumanne ukalala na Amina
Jumatano na Sara
Alhamisi na Latipha
Ijumaa na Loveness
Jumamosi na Angel
Wanawake 6 tofauti katika wiki na marafiki
wanakupongeza kuwa wewe ni shujaa na
wewe
wajiona shujaa na mjanja
Kaa ukijua kila mwanamke uliyelala nae ana
mapepo 36 pamoja na roho ya kutofanikiwa
katika maisha yako na kufanya ucheleweshewe
baraka zako kutoka kwa Mungu.
Piga hesabu 36x6=
Halafu unakaa kulalamika mambo yako
hayafanikiwi na mikosi yote hiyo
Umeisha wahitaji maombi!!

You Might Also Like

0 comments: