Si kila utakachokiona kiko kama unavyodhani...U ­mbea utakucosti rafiki yangu

05:33:00 Unknown 0 Comments



Hii tabia ya watu kushika-shika simu za wapenzi wenu imemtokea kimada fulani puani.
Mpenzi wake kaacha simu imepigwa jina imedisplay My Everything,na namba inayodisplay sio ya kwake..
Alivyoku wa kanyaboya akazama Phonebook akaichukua ile namba ya 'My Everything' akaanza kuimwagia mitusi ya nguoni,umkome bwanangu unadhani ananenepa bure yule,alivyokuwa ­ kimbaumbau hukumuona leo ndounamdandia,koma ­ kama ulivyokoma ziwa la mamako,halafu anamalizia na sonyo,Mxiiiiiiu ­uuuuuuu..
Kumbe maskini ya Mungu ile namba ni ya Mama Mzazi wa yule Mwanaume...Aibu ­ ilioje!Sio kila mtu anaandika My Love,au My Sweetheart akisevu vimada,wengine tunapenda wazazi wetu,they are everything.
we unakurupuka unamtukana mkweo..Utaachik ­a hivihivi na migubu yako isiyo na msingi..Nilisha ­sema na naendelea,Simu ya Mpenzi wako sio mali yako,Do not touch it,Utapagawa na mapepo!
Si kila utakachokiona kiko kama unavyodhani...U ­mbea utakucosti

You Might Also Like

0 comments: