Majanga mapya yazuka hapa nilipo

21:39:00 Unknown 0 Comments

Jamaa kamsifia mchepuko wake kuwa anampendea kwa kitu kimoja mhimu ambacho ni meno yake.

Duh kumbe binti yeye meno yake hayapendi kwa madai yamepangika vibaya.

Ugomvi unaendelea binti anajua ni dharau kumbe kijana alitaka kuongeza pointi

Malavidavi haya yana mambo

You Might Also Like

0 comments: