Mambo muhimu kwa dada zetu kuzingatia ili kuboresha afya zenu

13:38:00 Unknown 0 Comments


Akina dada naomba niwajuze machache huenda yakawa msaada kwenu.

1.Usitumie sabuni yeyote yenye chemical kujisafishia sehemu za siri(hupelekea kuu walinzi wa maeneo hayo na kukusabishia fungus na muasho ukeni.

2.Usitumie ndoo ya kudekia kwa kwenda kuogea(hubeba vimelea na vijidudu vitakavyokusabishia UTI na fungus.

3.Wakati wa kujisafisha baada ya haja kubwa nawa kwa kutoka mbele kuelekea nyuma(hii itasaidia vijidudu vya kinyesi visiingie ukeni na kukuletea madhara

Source:JF 

You Might Also Like

0 comments:

Follow Me On Instagram