Maombi matatu yenye utata

15:35:00 Unknown 0 Comments



Hapo zamani kulikuwa na Chura alie ishi pembezoni mwa Ziwa peke yake kwa miaka mingi .alibahatika kupewa nguvu za kichawi na Mchawii mmoja hivii......

Siku moja alibahatika kutoka nje ya Ziwa na kuona Dunia ilivyoo kwa njee,kitu chake cha kwanza kuona ilikuwa ni Simba anamkumbiza Sungura ,alipaza sauti nakuwaita wote waje nao wakafanya hivyoo wakaja pale alipo.

Kisha akawaambia "mimi ni Chura mwenye Maajabu ,kwakua nyie ni wanyama wangu wa kwanza kuwaona ,nitawapa nafasi ya kutimiza ndoto zenu leoo, kila mtu achague vitu vitatu ambavyoo angependa vitokee namii nita mpatia mda huu huu na watakiwa uvitumie sasa hivii. "
Simba Kwakua alikuwa na Tamaa akawa wakwanza kutaja . "ningependa kila SIMBA hapa msituni awe JIKE kasoro mimi tuh niwe DUME " ilisikika sauti ya ajabu na ombi lake likawa kweli... "

Zamu ya SUNGURA, mimi ningependa Helmeti kichwani ." Ombi hili liliwachanganya wote Chura na Simba ,lakini ndio hivyoo ikatokea sauti ya ajabu na Helmeti ikatokea kichwani mwa SUNGURA.

Zamu ya SIMBA tena . "ningependa kila SIMBA katika misitu ya karibu na Hapa tulipo awe JIKE " kama kawaida sauti ya ajabu ikatokea na ikawa hivyoo kama ombi lake .Zamu ya SUNGURA tena "mimi ningependa piki piki iwe na MAfuta full Tanki . "wote SImba na Chura Wakawa wanashangaa si angeomba Pesa na Angeweza nunua Baadae " ikatokea sautii ya ajabuu na piki piki ikatokea .

Zamu ya SIMBA tena " ningependa SIMBA wote duniani wawe JIKE " ikatokea Sautii ya ajabu na Ikawaa hivyoo kama OMBi lake .SUNGURA akatupiaa Helmeti kichawani na kuwasha piki piki kisha akasema Ningeomba "SIMBA huyu awe SHOGA na kutokaaa Ndukiiiii......

You Might Also Like

0 comments: