Mwanafunzi atunishiana misuli na profesa......Chuo chamjadili

17:54:00 Unknown 0 Comments

Profesa:Nini maana ya dhambi?

Mwanafunzi:"Profesa nitajibu, ila kwanza na wewe nijibu swali langu. "Je baridi ipo?"

Profesa: Ndio.

Mwanafunzi:"Umekosa profesa.

Hakuna kitu kinachoitwa baridi. ila kukosekana kwa joto."

Mwanafunzi akauliza tena,"Je giza nalo lipo?"

Professa: Ndio.

Mwanafunzi:"Umekosea tena. hakuna kitu kiitwacho giza. ila ni kukosekana kwa mwanga. Kupitia fizikia tunaweza kujifunza juu ya kukosekana kwa mwanga na joto na sio giza wala baridi. Na ndio maana hakuna kitu kinachoitwa dhambi.

Ila ni kukosekana kwa imani, upendo na ukweli kuwa Mungu yupo.

Kama unaamini Mungu yupo basi huna dhambi wala hutakosa upendo na uaminifu kwa marafiki zako.

You Might Also Like

0 comments: