Njia 8 za kuzifuata kama wataka kujikosesha furaha:
1. Kulalamika bila kutafuta ufumbuzi wa tatizoau matatizo.
2. Kuyakimbia matatizo yako badala yakuyatatua.
3. Kujilinganisha na wengine.
4. Kuwaza na kua na wasiwasi na mamboambayo bado hayajatokea.
5. Kufanya vitu mfano kazi ambayo huipendikutoka moyoni.
6. Kukaa kwenye mahusiano ambayo hayanatena faida kwako.
7. Kujaribu kubadili mitazamo ya wengine hukuukijiona wewe ndo uko sahihi.
8. Kujaribu kumfurahisha kila mtu kwa matendoyako.
like Tabasamu na Fuledi
0 comments: