Nzuri kwa maisha...SOMA

08:10:00 Unknown 0 Comments



1. Usitegemee chanzo kimoja cha mapato, kila upatapo wekeza zaidi ili uwe na chanzo cha pili, cha tatu, etc.

2. Hakikisha unanunua vitu ambavyo unavihitaji tu. Ukinunua vitu ambavyo huna haja navyo, iko siku utashindwa kununua vile unvyovihitaji. Tumia kwa busara.

3. Usiweke akiba kinachobaki baada ya kutumia bali tumia kinachobaki baada ya kuweka akiba.

4. Kwenye kuwekeza hela yako kwenye biashara yoyote kuwa makini, usiingie kichwa kichwa. Maji ya mto hayajaribiwi kwa kuingia na miguu yako yote miwili. Utasombwa na maji au utazama.

ruksa kushare

You Might Also Like

0 comments: