Sijui nifanyeje nimedata..i hate mashemu wote

06:16:00 Unknown 0 Comments


Baada ya mke wangu kunitambulisha yule shemeji hisia za mapenzi zikaanza kunishika kwa
kasi ya ajabu.Nikajiapiza lazima nihakikishe nampata kwa gharama yoyote ile.
Shem wangu yule kiukweli kaumbika maana guu guu hips hizoo na kwa upande wa ucheshi wake mimi sisemi kitu.
Basi nikaidaka namba yake na kuanza kumpa manjonjo na baada ya muda mtoto akatia timu na kuendana na matakwa yangu yaaani kwa kifupi akasalimu amri.
Akaniahidi tukutane hotel ili anipe furaha nami sikuwa na la ziada zaidi ya kumpa fedha ili siku
ikifika nimkute kunako chumbani.
Siku ikafika mtoto akaniambia yuko kunako hoteli na mie nikaenda na kabla ya kuingia hotel
nikaona bora nipige viloba kwanza vinitoe nishai na kunipa maujasiri.
Nikavipiga weeee kisha nikaanza kuona naishiwa nguvu nikamwomba twende tukajilie vyetu.
Akanichukua na kunilaza kitandani na akaniambia anaenda kununua maji hoteln na kwa kuwa nilishajichokea na mikonyagi nikalala na nakumbuka usiku nikaamka kumpa gemu moja tafu sana na akanisifia na tukaendelea
kulala.
Asubuhi naamka niwashe taa na kwenda chooni nilishangaa kuona kumbe pale hotelini nililala na
mke wangu.
Mke akashtuka na kusema mbona umeduwaa nikakaa kimya kwani nilimdanganya naenda morogoro kikazi kwa siku moja ana nikaanza
kuhisi kuwa kuna ka mchezo pale.
Nimechanganyikiwa na sina cha kusema maana naona wamenipa wakati mgumu kwa kunitegea
mtego huu.
Sijui nifanyeje nimedata..i hate mashemu wote

You Might Also Like

0 comments: