Wale wezi wa njia ya mitandao nao sasa wanakera kuliko DENGUE

08:49:00 Unknown 0 Comments



Baada ya facebook kuwatambua na kufuta email zao kila watumapo kwenye akaunti mbalimbali za watumiaji wa facebook.

Wao sasa wamekuja na mpyaaaa, wanaandika ujumbe wao ambao ni kama ule wa mwanzo na kisha kuziweka katika mfumo wa picha na kukutumia ... 

Sasa wewe jifanye unajibu uone maajabu ya jinsi akaunti yako inavyoweza kukauka

ONYO: ACHA KABISA KUWAJIBU HAWA JAMAA NI WEZI WA KUTISHA

You Might Also Like

0 comments: