AINA ZA HUSBAND HAPA TANZANIA KAMA ILIVYOAINISHWA NA MABINTI

10:29:00 Unknown 0 Comments


1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele

3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu

4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo

5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje

6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo

7. ParasiteHusband - Huyu ni Tegemezi aka Marioo

8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe

9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu

10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo.

You Might Also Like

0 comments: