Aina za utoaji msaada/misaada kwa wahitaji ambazo hutumiwa na wanadamu wa sasa.

11:10:00 Unknown 0 Comments



1. Kuutoa msaada kwa mwitaji kimya kimya huku ukihakikisha unafuatilia mpaka tatizo liishe

2. Kutoa msaada na kisha kuamini kuwa tatizo litakuwa limeisha na wewe ukiendelea na mambo yako

3. Kutoa msaada na kuutangaza kupitia vyombo mbalimbali kwa lengo la kununua upendo (buying love)/ heshima au kutambulisha uwezo wako kwa watu

4. Kutoa msaada kwa wahitaji na kuutangaza ili kuhamasisha watu wengine nao waone wananafasi ya kuwasaidia wenye uhitaji

5. Kutoa msaada na kuutangaza kama njia ya kuhamasisha watu pia nao wakuonee huruma na kuanza kukuunga mkono katika biashara zako kwa kuwa umegundua eneo hilo kuna uungwaji mkono mchache.

6. Kutoa msaada kwa kuwa wamegundua umefulia na  sasa wanataka kuanza kuiba baadhi ya furaha zako mfano, mke au watoto wako wakike wazuri na mengineyo :) :) :)

SASA NA WEWE SIO KILA  UNAPOPEWA MSAADA UNAKENUA MENO

You Might Also Like

0 comments: