ANGALIA UTAPELI HUU..................................

17:42:00 Unknown 0 Comments

NIMEINBOXIWA KWA KUTUMIA ANWANI YA MTU MWENYE HESHIMA KATIKA JAMII ILI TU NIINGIE KWENYE HUO MTEGO, IKWA UMEPATA UJUMBE KAMA HUU DELETE FUTA KABISA

Habari yako, samahani kwa ujumbe huu endapo kama utakukera ila napenda kukurekebisha lengo kukuweka sawa na kukuepusha katika matatizo. Kuna taarifa umepost katika group ya facebook view timeline kupitia link hii hapawww.facebook-view-timeline.wapka.mobi kiukweli sio taarifa nzuri inaleta uchochez wa vita ya kidini,siasa na mfarakano wa ubaguzi kua makini nimepata taarifa jesh la polisi wanafatilia hz ripot na wapo ktk msako wa kukutafta ili utoe maelezo yakina. 

Nimezipa hzo hapa www.facebook-view-timeline.wapka.mobi mtu akilogin hapo akiingza email na password anaona yote. 

Kua makini kaka

You Might Also Like

0 comments: