Habari inayogombaniwa na kila mtu kuisoma facebook muda huu

09:51:00 Unknown 0 Comments


Kijana Martin baada ya kuhitimu chuo alitafuta kazi kwa muda wa miaka kadhaa bila mafanikio na kuamua kufanya kazi ya Tax kama dereva tax ili aweze kujipatia chakula cha yeye na mkewe ambaye pia hakuwa na kazi na pamoja na hela ya pango.

Siku moja alimpata abiria kutoka airport na kumpeleka hotel moja ya kitalii. Baada ya kurudi kituoni kwake akagundua kuwa yule mama alisahau mkoba wake wenye fedha na baadhi ya hati zake za kusafiria.

Martin akachukua simu na kutafuta mawasiliano ya mama yule na kumpigia na kisha wakakutana pale hotelini akampa mikoba yale na kuondoka huku akimwacha mama akifurahi na kumshukukuru kwa uaminifu huo.

Kumbe yule mama alikuwa mkurugenzi wa kampuni moja iliyokuwa ikichimba madini nchini mle na hivi sasa Martin ameajiriwa pale amepewa nyumba na anadereva anayemwendesha na ana biashara za tax ambazo mkewe anazisimamia.

MUHIMU:

Habari hii ina ujumbe mzito katika maisha yako ndani ya mwezi huu na mwaka huu.

Kumbuka watu wengi huitwa ila ni wachache sana tena wenye bahati ambao huchaguliwa na hii ni katika kila kitu hapa duniani na tumelishudia hilo na kila siku twaendelea kuyashuhudia.

Hata kupitia ujumbe huu kuna.wengi watajifunza kitu na kuona umuhimu na wengine watadhani ni habari zile zile.

Kupitia ujumbe huu nakuombea yafuatayo;

1). Uwe mwaminifu kwa kile kidogo ulichonacho au hata kile ufanyacho na wema huo ukupe miujiza ya baraka ndani ya mwezi huu na mwaka huu .
2). Mwezi huu uwe mwezi wa kupokea baraka kwa kila hali ngumu utakayoipitia au unayoipitia na baraka zikushukie nasi tushukuru.

You Might Also Like

0 comments: