Huyu ndiye binti wa kitanzania mwenye busara kuliko wote

15:23:00 Unknown 0 Comments


Walikuja vijana watatu kumposa binti mmoja...


Kijana mmoja alikuwa Tajiri sana..
Kijana wa pili alikuwa Handsome sana...
Kijana wa tatu alikuwa maskini sana..

Baba ya msichana akamwambia bintie, Mwanangu nasaha yangu kwako,

Huyu kijana tajiri atakutajirisha sana..
Kijana Handsome utazaa nae watoto wazuri sana...
Kijana maskini atakufanya uwe maskini sasa uamuzi ni wako...

Binti akasema, "Babangu huyu kijana tajiri hatatosheka na mimi ataowa mke wa pili na watatu na wanne...

Huyu kijana Handsome atapendwa na wanawake wengi kwa uzuri wake..

Na huyu kijana maskini ataishi na mimi peke yangu hatafikiria mwanamke mwengine kwa sababu ya hali yake...

Nimemchaguwa huyu kijana maskini, ni maskini wa mali lakini tajiri wa mapenzi na uaminifu...

You Might Also Like

0 comments: