Jamani nyie wanaume maneno mengine mnayoongea mkikutana na wake za watu pamoja na waume zao mtakuja tolewa pua

11:04:00 Unknown 0 Comments

Kuna jamaa mida hii kakautana na mtu na mke wake wakitoka kanisani, jamaa akasalimiana nao na yule mme akamuuloiza kumbe unafahamiana na huyu?

Jamaaa kajibu,  "ndio bwana huyu alikuwa demu wangu yaani nimekumbuka mbali sana yaani"


Mpaka naondoka ni kwamba jamaa shati lake lilionyesha dalili za kuchanika huku akiwa na alama za vidole mashavuni

Majanga mengine bwana twajitakia sisi wenyewe.

You Might Also Like

0 comments: