Kuna vifo vingine twajitakia kabisa kabisa ndugu zangu.

10:28:00 Unknown 0 Comments

Jamani jamani jamani

Kuna vifo vingine twajitakia kabisa kabisa ndugu zangu.


Tulipata bahati ya kuwa na house girl wetu mpya na ki ukweli alikuwa mzuri wa kuvutia sana.

Kila tukipiga story mimi na kaka zangu pamoja na marafiki tuliishia kumsifia.

Wote wakaenda vyuoni na nikabaki mimi baba na mama pale nyumbani.

Miezi ikazidi kwani mimi nilibaki shule ya sekondari na kina kaka wakiwa vyuoni kwao.

Mama huwa anachelewa kufunga duka na baba yeye anafanya serikalini akawa anawahi mara moja moja kufika home.

Mara nikaanza kuhisi kama dada wa kazi ana mahusiano na kaka zangu maana kila wakirudi likizo majanga yalikuwa hayakawii kwisha.

Tukashtushwa na kifo cha kaka yetu wa pili ambaye aliugua malaria na kufa ghafla na pamoja na yote tukaja pata habari kuwa alikuwa na HIV pia.

Baada ya tetesi zile kumbe mama akawa anahisi kuwa alikuwa na mahusiano na house girl.

Na majirani pia wanadai kuwa na baba alikuwa na mahusiano na house girl hivyo ikabidi atupeleke nyumba zima tukapime kwa lazima baada ya kulia na kuhuzunika sana.

Baada ya majibu wote tukagundulika ni ,waathirika kwani wote pamoja na baba tulikuwa tunatembea na house girl bila kujijiua.

Nawamoba mniombee katika kipindi hiki ambacho nahitaji msamaha kwa Mungu.wangu pamoja na nyie ndugu zangu.

Asanteni

You Might Also Like

0 comments: