Kupanga nyumba moja na mademu wa chuo ni zaidi ya hasara

17:26:00 Unknown 0 Comments



Jamaa kapanga nyumba moja na wanafunzi wa chuo, na si wajua harakati za wanafunzi hasa wakipata fedha.

Basi jamaa akaona wanazidi kumnyanyasa kwa kula mavitu ya ukweli na yeye kaingia miezi dume basi ikabidi na yeye atumie akili.

Akakusanya maganda ya mayai na kuaweka chumbani na kilasiku asubuhi anatokaanapita barazani huku kabeba sahani yenye maganda na kujifanya anaenda kutupa jalalani kisha anayarushia dirishani kwake na siku ya pili anarudia kujifanya anaenda kutupatena,sasa leo kadakwa......

You Might Also Like

0 comments: