Kuta za hospitali zimeshuhudia sala nyingi za kimya kuliko makanisani au misikitini
Airports zimeshuhudia kiss nyingi za wapendanano kuliko kumbi za harusi
Kuta za hospitali zimeshuhudia sala nyingi za kimya kuliko makanisani au misikitini
Siku mbaya au nzuri katika maisha yetu zinatokana na jinsi sisi tunavyofikiria. Sauti ya mziki unayoiita kero kwenye daladala hugeuka tunu ikiwa katika kumbi za starehe au Disco.
Pizza….kila mara hutuchanganya… unainunua ikiwa katika box la pembe nne … Ukiifungua ndani … ni ya duara … unavyoanza kula ni ya pembe tatu !
Maisha pamoja na watu wake nao wako kama mfano huu wa pizza … Mwonekano wao tofauti .. Jinsi ya kuyachukulia mambo tofauti .. na tabia zao ni tofauti zaidi
0 comments: