Mazungumzo yenye utata

09:15:00 Unknown 0 Comments

Dada mmoja alikwenda Pharmacy alipofika mazungumzo na Famasia yakawa hivi:

Dada:naomba sumu inayoweza kuua mtu haraka sana.
Famasia:dada sisi hatuuzi sumu.
Dada:nakwambia nigee sumu inayoweza kuua mtu haraka,nataka nikamuue mume wangu.
Famasia:Mungu we! hiko ni kinyume cha sheria na pia hata M/mungu hapendi.

yule dada akaingiza mkono katika begi lake dogo na kutoa picha ya mumewe akiwa anafanya mapenzi na mke wa Famasia,na kumkabidhi Famasia,Famasia akaingalia kwa uhakika ile picha na kumwambia yule dada.

Famasia:sasa mbona hukuniambia ya kuwa una kibali kutoka kwa Dokta cha kununulia sumu

You Might Also Like

0 comments: