Muhindi ala vichwa sita kutoka kwa mfanyakazi bila kujua sababu

19:15:00 Unknown 0 Comments

Juma kaenda kuomba kazi ya uboi kwa muhindi, mambo hayakuwa mabaya kwa wiki mbili za kwanza.

Siku hiyo ndugu zake bosi
wakamtembelea bosi, Juma akaambiwa apange meza ya chakula, akaweka vizuri sahani, visu,
vijiko lakini akasahau kuweka uma. Wageni wote wakawa wamekaa kwenye viti vyao , Juma akiwa nje anapumzika, ghafla akasikia;

BOSI : Hanee Juma lete nyuma..... Juma hakuamini alichosikia,
JUMA : Umesemaje Bosi?
BOSI : Ve apana sikia, lete nyuma vageni nataka...
Bosi hakujua na mpaka leo hajui ni kwanini Juma alimtandika kama vichwa sita vya mfululizo

You Might Also Like

0 comments: