Nani mjanja hapo?

18:43:00 Unknown 0 Comments

Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko.
Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:

MUME : Fungua mlango!
MKE : Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako.
MUME : kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa.
MKE . Kufa huna faida yoyote duniani!
MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo dubwi!
MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla
mume kaingia ndani na kumfungia mke nje.
MKE : Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani
waje.
MUME : Piga kelele na wakija uwambie unatoka
wapi usiku huu na khanga moja. Nan jembe
hapo, mume au mke?

You Might Also Like

0 comments: