Ukitaka kujua kama mchepuko wako umekuchoka au hakutaki haya ndo majibu yake;

15:23:00 Unknown 0 Comments



1.Baby tutaongea baadae,nina kazi nyingi

2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikua kwenye kelele.

3.Sweety sina credit,that's why sijajibu sms yako.

4.Tuko discussion,ntakubeep badae dear.

5. Simu haikua na chaji jamani (hapo alikuzimia cm).

6.Nipo na kaka yangu,usipige simu.

7.Naumwa,kesho hatuwezi kuonana.

8.Room mtu wangu anamgeni,usije leo.

9.Nipo safarini,ntakutafuta badae (kwa saut ya chini).

You Might Also Like

0 comments: