VITU VINAVYOKERA HUMU FECEBOOK:

13:04:00 Unknown 0 Comments




Mpenzi wako anaupload pic halafu wanaume au wanawake wengine wanacoment "ur so sexy baby"halafu ye anakuja kuLIKE comments bila kureply,Mpenzi wako anachelewa kujibu (reply)halafu yupo online,watu wanatag pics kama wameajiriwa wakati we hutag zako,Wasichana wenye sura mbaya nao wanajifanya viwango kisa wanatongozwa hovyo fb then wanajiona mamiss

.kuna wanaume inbox zao zimekaa kama za madem,.Mpenzi wako anaweza kunyamaza hata wiki au mwezi halafu anakuja kukuambia anakupenda,Warembo wanatuma friend request ili waonekane masupa star wenye friends wengi humu fb ila inbox hawajibu,

Demu/men ana mtu wake kwenye relationship ila bado anazingua inbox,Msichana uliyemtongoza fb anakuja na friend wake kukutana na wewe,Watu wanaupload pic wakiwa mamtoni ili wasifiwi na ndo cheaters wa mapenzi,Wasichana wanavaa nguo zisizowafit waonekane nao ni kina Amber Rose na Kim Kardishan wakati wanaonekana vituko,Mtu anaona masifa kutembea na Wanaume/Wanawake wengi fb,Kuna watu wanatukana wengine ili wapate comments na likes nyingi,wakiambiwa mmeudhiwa na nani hawataki kutaja....

You Might Also Like

0 comments: