Aina nyingine za umbulula
1. Unamkaribisha mtu ofisini anakuja kusimama karibu nawe aone wafanya nini kwenye computer yako
2. Uko kwenye daladala waandika sms jamaa anakodolea mimacho kama yamhusu vile
3. Unamwazima mtu simu ampigie jamaa yake baada ya kumaliza anaanza kuangalia inbox yako.
4. Ongezea na wewe
0 comments: