Ali Kiba anatisha kwenye mashairi na Fadhy Mtanga anatisha kwa utunzi wa simulizi

20:38:00 Unknown 2 Comments

Tatizo kubwa la sisi wabongo tuna majibu mepesi kwenye mambo magumu.

Huwezi soma post ya mtu kwa sekunde nne na ukajibu kama hujaweka nguvu na akili kuirudia zaidi na zaidi kusoma na kuielewa tena kwa tafakari ya kina.

Pia mtu ukiambiwa nyimbo hii ni nzuri au mtu fulani ni mtunzi mzuri wa nyimbo basi jaribu kutumia muda na akili ukiongeza na jicho la tatu kumtazama kwa undani.

Bob marley baada ya kufa kuna lundo la maprofesa walipata uprofesa wao kwa kuzitafiti nyimbo zake na falsafa yake.

Ali Kiba anatisha kwenye mashairi na Fadhy Mtanga anatisha kwa utunzi wa simulizi

Namsikiliza Alikiba huku namsoma Fadhy katika Huba wakati najifunza kuwajibu marafiki wa tabasamu

You Might Also Like

2 comments:

  1. ha ha ha karibu bwana... niliandika zamani sema nimeisahau blog hii kwa muda

    ReplyDelete