Binti wa mjini amtoas nishai kijana wa Tukuyu
Jamaa kamwona binti barabarani kaanza kumpa
maneno matamu,
Jamaa:Wow mtoto umependezaje, yaani
umeniteka moyo kwa uzuri wako mithili ya miss
canada, Nipo radhi nifanye lolote juu yako japo
uridhike na kuwa mali yangu
Binti: Naomba simu yako
Jamaa: Haina shaka bibie ichukue najua wataka
kunipa namba yako
Binti: Naomba pasiwedi yako ya M-Pesa
Jamaaa (huku akitabasamu na kujua binti
atamzimia baada ya kuona balance yake ya
400,000): andika 2019 beibe najua wataka
kuangalia ka salio
Jamaa akasikia mlio ma sms na binti kampa simu
yake, jamaa ile kucheki binti kajipunguzia 200,000
Jamaa akaanza kutetemeka
unafikiri nini kilitokea?
0 comments: