Chakula bora cha kukufanya uishi miaka mingi hapa duniani

08:43:00 Unknown 0 Comments


Epuka

Kukaa na watu wasio halisia

Kuishi na watu wasiojali maisha

Kuishi na watu wenye kusujudu majungu

Kuishi na watu wenye mitazamo hafifu kwa kila jambo

Kuishi na watu wasiopenda kukuona wewe ukiishi kwa furaha

Kuishi na watu wanaojipenda wao na kusahau kuwa jamii yawahitaji pia


Mwanzoni itakuwa ngumu kwako kwani utaweza kupungua zaidi ya kilo tano kwa kujifunza kuishi hivi,  lakini baadae itakuongezea zaidi ya kilo tano za maisha ya furaha na amani

You Might Also Like

0 comments: