Dereva wa basi aliwa na chatu

11:34:00 Unknown 0 Comments

Basi moja lilikuwa likisafiri kutoka kijiji kimoja kwenda makao makuu ya wilaya.

wakiwa njiani dereva akabanwa na haja kubwa na kusimamisha basi ili aende kujisaidia.

Dereva akashuka na akatafuta kichaka na kuivua suruali yake na kuanza kujisaidia bila kujua juu ya mti kulikuwa na nyoka mkubwa aina ya chatu.

Chatu yule akashuka na dereva alipomuona akaishiwa nguvu na chatu yule akameza yule dereva.

Abiria wakasubiri kwa muda mrefu bila kumwona dereva na kuamua kwenda vichakani kumsaka na kuona ameliwa na yule chatu na hata baada ya kumuua chatu dereva alikuwa kashakufa.

Kifo cha dereva kiliwahuzunisha abiria wote wa basi lile

Sala yangu kwako

"Hakuna kitu kitakachoisimamisha safari yako ya mafanikio na kukuletea mikosi.

Kamwe hutazidiwa na shetani msababisha mauti bali utaishi na kuyafurahia mafanikio yako"

You Might Also Like

0 comments: