Dondoo 12 za kukufanya uendelee kuwa jasiri kwenye hali hatarishi inayoweza kukuharibia mambo yako

04:25:00 Unknown 0 Comments



1. Kamwe usijibu au kumjibu mtu ukiwa na hasira, ni vyema ukigundua una hasira ujaribu kuvumilia mpaka hasira ziishe kwani unaweza jikuta uko katika hali mbaya zaidi.

2. Jaribu kuongea chanya na marafiki watakao kupa ujasiri

3.Jaribu kuvuta pumzi ya kutosha na kunywa maji kama hasira inazidi.

4.Ongea kwa sauti ya kawaida ili kupunguza ukali wa jambo

5.Amini utapata fursa ya kulitatua tatizo kama .Albert Einstealivyowahi kusema: “In the middle of every difficulty lies opportunity.”

6.Jaribu kukumbuka wewe umewahi kuambiwa una mazuri gani na yachukue hayo kama silaha ya kulishinda tatizo.  

7.Na kama maneno au ujumbe uliokufanya ugadhabike unaendelea kukuumiza jaribu kupuuzia

8.Jaribu kuwa chanya kwa watu hata kama wanafanya mambo ya kukuudhi lakini isiwe sababu ya kuwachukia jumla.

9.Jaribu kuamini kuwa kuwa na hisia chanya itakuumiza wewe na sio wao hivyo kuwa na furaha

10.Kama umefanya makosa wewe jaribu kuyakiri na kubadilka

11.Na kila ufanyapo makosa na kutambuana kutaka kubadilika jaribu kukumbuka msemo huu wa George Bernard Shaw: “A life spent making mistakes is not only more honorable, but more useful than a life spent doing nothing.”

12.Na kama ukiweza jaribu kusoma, kusikiliza na kutazama vitu vyenye kukupa nguvu na kukuongezea ujasiri wa kusonga mbele

You Might Also Like

0 comments: